Friday, 22 November 2013

MTOTO AZALIWA NA UTUMBO NJE PERAMIHO





Mtoto wa ajabu amezaliwa katika Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho akiwa hana ngozi ya tumboni, yaani amezaliwa na utumbo nje (congenital malfunction). Mama aliyejifungua mtoto hiyo Asumpta Magungu (17) mkazi wa Lihangano katika kijiji cha Peramiho akimuangulia mtoto wake katika wodi namba 3 jana. Picha ndogo ni Muuguzi Mkunga, Odila Kapinga amuonesha mtoto huyo mwenye jinsia ya kike aliyezaliwa na utumbo nje akiwa . (Picha na Friday Simbaya)

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...