Wednesday, 5 December 2012

MSIMU WA MAEMBE

Wakazi wa Mtaa wa Yerusalemu Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma kutungua maembe kwa mawe  kwenye mti jana jioni. Wakazi hao walikuwa wanatungua embe mmoja iliyoiva matokeo yake wanaangusha maembe mengine mengi mabichi kwa kukosa subira ya kuacha mpaka yaive. (Picha Na Friday Simbaya)

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...