Wakazi wa Mtaa wa Yerusalemu Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma kutungua maembe kwa mawe kwenye mti jana jioni. Wakazi hao walikuwa wanatungua embe mmoja iliyoiva matokeo yake wanaangusha maembe mengine mengi mabichi kwa kukosa subira ya kuacha mpaka yaive. (Picha Na Friday Simbaya)
Wednesday, 5 December 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment