Wednesday, 5 August 2015
DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS NEC
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais Agosti 4, 2015.
DUNI HAJI MGOMBEA MWENZA WA LOWASSA KUPEPERUSHA BENDERA YA UKAWA
Mkutano Mkuu wa Chadema kwa pamoja umempitisha Mwanasiasa Edward Lowassa kama mgombea Urais na Juma Haji Duni kuwa mgombea Mwenza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 25 oktoba 2015.
Katika upigaji kura Kanda zote zimepiga kura ya NDIYO kwa Mh. Edward Lowassa na hakuna kanda iliyosema HAPANA, huku wakishangilia kwa nguvu.
Kanda ya Kaskazini, Kanda ya kati, Kanda ya Magharibi, Kanda ya Kusini na nyingine zote pia zimepiga kura ya NDIYO kwa Juma Haji Duni kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi nkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...