Wanafunzi wa shule ya msingi chemchem katika Manispaa ya Iringa wakiwa juu ya paa la choo wakisafisha ikiwa ni sehemu ya maandalizi kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2014 mtihani huo utakaofanyika tarehe 10 na 11/9/2014, ambapo shule za msingi 458 kati ya shule 484 ndizo zenyewanafunzi watakaofanya mtihani wakumaliza elimu ya msingi mkoani Iringa. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Afisa Elimu Mkoa wa Iringa, Joseph Mnyikambi akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwaka. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Na Friday Simbaya, Iringa
Jumla ya wanafunzi 21,540 wakiwemo wavulana 9,779 na wasichana 11,761 ndio watakaofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu mkoani Iringa, imefahamika.
Jumla ya wanafunzi 21,540 wakiwemo wavulana 9,779 na wasichana 11,761 ndio watakaofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu mkoani Iringa, imefahamika.