Thursday, 15 November 2012

MSIMU MWINGINE WA MASUKU (MIKUSU)


Mkoa wa Ruvuma ni maarufu sana kwa matunda pori  aina ya masuku, ambapo masuku 10 yanauzwa kwa shilingi 100/- , Peramiho.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...