Friday, 24 October 2014

Bodaboda ni sanaa Uganda

Katika barabara za jijini Kampala -mji mkuu wa Uganda-siku hizi kuna vitu ambavyo vimepambwa ambavyo si vya kawaida.
Kuna picha kubwa za michoro ya sanaa ikiwa juu ya pikipiki -maarufu kama Bodaboda.
Hii ni sehemu ya tamasha la sanaa la kisasa la michoro. Shabaha ya maonyesho haya ni kufichua maisha na sauti ambazo hazijawahi kusikika. BBC

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...