Mama mmoja mkazi Ludewa Mjini ambaye hakufahamika jina mara akijifuta wino kidoleni mkono wa kushoto kidole kidogo baada ya kutoka chumba cha kupigia kura katika kituo cha kipigia kura kilichopo ofisi ya makao makuu ya Kata ya Ludewa mjini jana. Kata ya Ludewa ilikuwa na jumla ya vituo vya kupigia kura 14 ambapo katika uchaguzi wa madiwani 2010 katika Kata ya Ludewa mjiini walikuwepo jumla ya wagombea wanne, ambao ni Monica Mchilo (CCM), Oscar Kikoti (CUF), Kilian Kanyaga (NCCR-Mageuzi) na Pirmini Ngailo (TLP). Katika uchaguzi huo Monica Mchilo (CCM) aliibuka mshindi kwa kupata kura zaidi 1,800.
Monday, 1 November 2010
UCHAGUZI MKUU 2010 KATIKA JIMBO LA LUDEWA
Mmoja wa makarani waongozaji, Joseph Mtake akihakikisha kama jina la mpiga kura lipo kwenye orodha ya majina yaliyobandikwa nje kituo cha kupigia kura kilichopo katika ofisi ya Makao Makuu ya Kata ya Ludewa mjini kabla ya mpiga kura hajaingia rasmi ndani kwa ajili ya kuwapigia kura rais na diwani. Jimbo la Ludewa (Mkoa wa Iringa) ambaye mbunge wa chama cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikujombe alipita bila kupingwa katika kura za maoni walifanya chaguzi mbili tu ya urais na udiwani katika ucgagazi Mkuu 2010.
Mama mmoja mkazi Ludewa Mjini ambaye hakufahamika jina mara akijifuta wino kidoleni mkono wa kushoto kidole kidogo baada ya kutoka chumba cha kupigia kura katika kituo cha kipigia kura kilichopo ofisi ya makao makuu ya Kata ya Ludewa mjini jana. Kata ya Ludewa ilikuwa na jumla ya vituo vya kupigia kura 14 ambapo katika uchaguzi wa madiwani 2010 katika Kata ya Ludewa mjiini walikuwepo jumla ya wagombea wanne, ambao ni Monica Mchilo (CCM), Oscar Kikoti (CUF), Kilian Kanyaga (NCCR-Mageuzi) na Pirmini Ngailo (TLP). Katika uchaguzi huo Monica Mchilo (CCM) aliibuka mshindi kwa kupata kura zaidi 1,800.
Mwandishi wa habari wa The Gurdian na mmliki wa blog hii Friday Simbaya (kushoto) akifanya mahojiano na Monica Mchilo mshindi (CCM) katika uchaguzi wa wadiwani, Kata ya Ludewa Mjini nyumbani kwake leo.
Mama mmoja mkazi Ludewa Mjini ambaye hakufahamika jina mara akijifuta wino kidoleni mkono wa kushoto kidole kidogo baada ya kutoka chumba cha kupigia kura katika kituo cha kipigia kura kilichopo ofisi ya makao makuu ya Kata ya Ludewa mjini jana. Kata ya Ludewa ilikuwa na jumla ya vituo vya kupigia kura 14 ambapo katika uchaguzi wa madiwani 2010 katika Kata ya Ludewa mjiini walikuwepo jumla ya wagombea wanne, ambao ni Monica Mchilo (CCM), Oscar Kikoti (CUF), Kilian Kanyaga (NCCR-Mageuzi) na Pirmini Ngailo (TLP). Katika uchaguzi huo Monica Mchilo (CCM) aliibuka mshindi kwa kupata kura zaidi 1,800.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
Habari ndugu msomaji wetu wa blog, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vit...
No comments:
Post a Comment