Friday, 27 May 2016

OFISI TAIFA YA TAKWIMU YASHIRIKIANA NA BENKI YA DUNIA KUTOA TAKWIMU SAHIHI


Pichani ni Mkurugenzi mkuu (NBS) Dk.Albina Chuwa




KATIKA kuhakikisha takwimu zinazotole kwa wananchi zinakuwa na ubora wa kimataifa nakuweza kutumika katika nyanja mbalimbali za kukuza uchumi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini (NBS)kwakushirikiana na Benki ya dunia imeanzisha mpango endelevu wa maendeleo wa mwaka 2030.

Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi mkuu (NBS) Dk.Albina Chuwa amesema kuwa mpango huo unalenga kuratibu viashiria 230 ambavyo vimeridhiwa na wakuu wa takwimu duniani katika mkutano wake wa 47ulifanyika Newyork Marekani ambapo amedai kuwa mpango huo ulalenga kuzisaidia nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania .

''MPANGO huu unakauli mbiu ya'' Leave no one BEHIND ''unalenga kuzisaidia nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ambapo mpango huu unalenga kuzalisha takwimu bora iliziweze kutumika katika nyanja za maendeleo ''Alisema Dk.Albina CHUWA .

Amesema kuwa tasnia ya takwimu inahitaji watu walio na weledi wakutosha ambao wataweza kuzikusanya,kuzichambua pamoja na kutafusiri matokeo ya sera .

Dk Chuwa amefafanua kuwa kwakuzingatia unyeti wa sekta yatakwimu nchini ofisi ya takwimu imetetengeza mifumo mbalimbali itakayo wezesha kupata takwimu zilizo bora katika ukanda wa afrika mashariki .

''LENGO lauanzishwaji wa mfumo huu unalenga kupunguza gharama zakusanya takwimu nchini nakuweza kupatamfumo mzima wa kuratibu shughuli nzima uandikishwaji wawapigakura nauandikishwaji waraia 'Amesema ALBINA chuwa .

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...