Maandamano ya amani ya kupinga mauaji ya tembe na faru kutoka Benki ya Barclays hadi viwanja vya Mwembetogwa katika Manispaa ya Iringa leo.
Mbunge wa iringa mjini Mch. Peter Msigwa ambaye pia waziri kivuli wa maliasili na utalii akipaza sauti kuhusu mauaji wa tembo na faru wakati wakuadhimisha siku ya kupinga uchangili duniani na kuiomba serikali iwekeze nguvu zaidi kuwalinda wanyama hawa ambao wako hatarini kutoweka. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Kutoka kushoto ni mratibu wa SPANEST, Godwell Meing'ataki, kaimu mkuu wa mkoa wa Iringa Adam Swai na Mbunge wa Iringa mjini mch. Peter Msigwa akipata burudani kutoka kikundi cha sarakasi wakati wa maadhimisho ya kupinga mauaji ya tembo na faru duniani leo katika viwanja vya Mwembetogwa. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Kaimu mkuu wa mkoa wa iringa, Adam Swai, ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea na wakazi wa manispaa ya iringa katika maadhimisho ya kupinga mauaji ya tembo na faru na kuviomba vijiji vinavyopakana na hifadhi kuhakikisha wanawekeza nguvu ya kuwalinda wanyama hawa ambao wako hatarini kutoweka. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
By Friday Simbaya, Iringa
On
October 4th people in cities throughout the world will march as one voice to
save Elephants and Rhinos. The countdown to their extinction has begun.
Unless
action is taken now, we will lose these majestic, highly intelligent, and
emotionally sentient creatures FOREVER.
More
than 35,000 elephants are being killed every year so their tusks can be carved
into ivory trinkets. A rhino is slaughtered once every 9-11 hours for its horn.
Their only hope for survival lies in an immediate end to the ivory and rhino
horn trade (both "legal" and "illegal") and the chance to
recover from decades of mass slaughter.
Please
join the global march to call for an end to the killing and a ban on ivory and
rhino horn before it's too late. Email us at march4elesandrhinos@gmail.com with any questions.
No comments:
Post a Comment