Monday, 3 December 2012

SUNDAY MARKET AT MDUDUWALO VILLAGE

Wakazi wa Kijiji cha Mduduwalo wilayani Songea, Mkoa Ruvuma wakifanya biashara ya viatu vya plastiki maarufu kama yebo jana, ikiwa siku ya mnada kwa wanakijiji hao.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...