Saturday, 28 March 2015

POLICE CHECKPOINT YA TUKUTANE HOYEEE!!



Polisi wa checkpoint ya eneo la Tukutane wilayani Same mkoani Kilimanjaro wakimkagua dereva wa Basi la Sai Baba Express ambaye hakufahamika jina lake mara moja leo mchana. Nimependa kazi yao kwa kweli wanafanya vizuri kwa kuhakikisha mabasi hayazidishi abiria, dereva kama hajavaa sare na kuhakikisha abiria wamefunga mikanda. Hongereni sana kwa kazi nzuri niona kwa macho yangu.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...