Tuesday, 24 March 2015

BREAKING NEWS.. POLISI WAOKOTA MWILI KWENYE MTARO ARUSHA



Mwili wa marehemu wakutwa mtaroni, mtaa wa CCM, karibu na jengo la CCM Mkoa barabara ya makongoro, mjini Arusha. Mpaka sasa haujajulikana ni jinsia gani, kutokana na kuharibika, kwa mujibu wa wakazi wa maeneo wanasema umeshindwa kutambulika kutokana na kukaa kwa muda mrefu ambako zaidi ya Siku NNE (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA).

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...