Saturday, 25 October 2014

WAHITIMU 2228 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA WATUNUKIWA VYETI...!

Baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wageni waalikwa muda mfupi baada yakumalizika kwa mahafali ya kwanza ya chuo hicho ambapo jumla ya wanachuo 2228 walitunukiwa vyeti katika fani mbalimbali na mkuu wa chuo hicho Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)


Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani, akivunja mahafali ya kwanza katika mwaka wa masomo 2013/2014 ambapo jumla ya wanafunzi 2228 wamehitimu. Kulia ni Makamu Mkuu wa Mhuo Prof. Nicholas  Bangu kwenye mahafali hayo.

chuo kikuu cha iringa


 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Christine Ishengoma na waziri mstaafu wa Elimu Joseph Mungai wakifuatilia mahafali leo.




Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (Master in Business Administration in Entrepreneurship and Marketing) Patrock Tenywa ambaye pia ni mfanyakazi wa Ikolo Investment (KwanzaJamii Radio/Mjengwablog.com) katika mahafali ya kwanza ya chuo hicho leo (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...