Saturday, 25 October 2014

CCM JIMBO LA IRINGA MJINI CHA VUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI

Katibu wa CCM Mufindi Miraji Mataturu (kushoto), akimkabidhi mmoja wa wanachama wapya waliojiunga na chama hicho wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika stendi ya mabasi Mlandege leo, zaidi ya wanachama 100 wapya  wajiunga na chama hicho na kukabidhiwa kadi.


Katibu wa CCM Mufindi Miraji Mataturu (kulia), akiwaapisha wanachama wapya baada ya kuwakabidhi kadi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika stendi ya mabasi Mlandege leo, zaidi ya wanachama 100 wapya wajiunga na chama hicho na kukabidhiwa kadi.


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...