Saturday, 25 October 2014

Barabara ya Dodoma - Iringa kukuza shughuli za kiuchumi

Gari la kampuni ya ujenzi SIETCO Chengdu, Sichuan-China ikimwagilia maji katika barabara ya Iringa - Dodoma  sehemu ya Iringa mjini ilikupunguza vumbi leo mchana. Barabara ya Iringa-Dodoma yenye urefu wa kilometa 260 unaendelea kukarabatiwa na kujengwa kwa kiwango cha lami kwa ufadhili wa African Development Bank (ADB), Japan Interntional Cooperation (JICA) pamoja na serikali ya Tanzania. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

Kufunguka kwa barabara kutoka Dodoma hadi Iringa, kutakuza shughuli za kiuchumi na kupunguza umasikini kutokana na barabara hiyo kuwa sehemu ya barabara kuu inayoanzia Cape Town nchini Afrika Kusini kupitia Tanzania hadi Cairo, Misri, maarufu kama The Great North Road. 

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...