Thursday, 3 September 2015

LOWASSA, MBOWE WAANZA KUPASUA ANGA KWA CHOPA, MPANDA

Kwa mara ya kwanza tangu mgombea wa kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, akiwakilisha vyama vya UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akifuatana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wameanza kuruka kwa chopa "kushambulia' mikoa ya Magharibi ambapo leo Septemba 3, 2015, wametua Mpanda, mkoani Katavi na kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni kwenye shule ya msingi Shule ya Msingi Kashaulili

CHOPA, ilioyowachukua Mh. Lowassa, na Mwenyekiti Mbowe, ikiruka baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni


Mmoja wa wananchi akibebwa baada ya kuzirai kutokana na msongamano katika mkutano wa kampeni za mgombea urais, Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa Kashauriri Mjini Mpanda mkoani Katavi




No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...