Monday, 8 December 2014

PINDA APOKEA MABEHEWA MAPYA YA TRL


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri  wake, Dr. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli  nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa  kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda  kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014  kupokea mabehewa hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...