Monday, 17 November 2014

Maadhimisho ya wiki ya mlipa kodi


MENEJA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Dodoma Thadeo Kaliza ( katikati) akizindua maadhimisho ya wiki ya mlipa kodi kwa kukata utepe  katika viwanja vya TRA Mkoani humo.Kushoto kwake ni Meneja Msaidizi wa Ukaguzi wa TRA Ramadhan Muya  na kulia kwake ni Meneja Msaidizi madeni wa TRA  Ngaka Magele .Kilele cha maadhimisho hayo ni Novemba 21 mwaka huu.(PICHA NA JOYCE KASIKI)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...