"Maaskofu hatuna mamlaka ya kuwaamlia / Kuwalazimisha Waumini Wetu Wafanye Uamuzi Gani Kuhusu Katiba, Kuwaamulia ni Kuwadharau Kuwa Hawawezi Kufanya Uamuzi Sahihi Wao Wenyewe Na Kuingilia UHURU Wao.
WARAKA Huu Unaleta Utengano Katika Taifa Kuwa Wakristo
Tumechukua Uamuzi Dhidi Ya Serikali Na Wengine....Tuwaache Waumini Wafanye Uamuzi kwa Tafakari Yao Binafsi Bila Shinikizo Letu.....
Wakati Hili Linajadiliwa Nilikuwa ITALY Katika Kusimikwa
Makardinali Na Baadaye India, Wengine Wakavumisha Nimelazwa,..Wengine Nimefariki, Lakini Namshukuru Mungu
Hizo ni Dua ZA Kuniongezea Maisha Marefu Na Afya(Makofi)
Nililetewa Waraka Nikausoma, Umepitishwa Baada Ya
Tafakari Kubwa Nauheshimu.
Lakini Nadhani Tuwaache Waumini Wafanye Uamuzi kwa
UHURU Baada Ya Kutafakari....
Si Sahihi Tukaenda Katika Katiba Kama Wakristo kwa
Shinikizo a kupinga KATIBA...
Wawe Huru Anayepinga kwa Hiari Yake Anayekubali kwa
Dhamiri Yake....
Sidhani Kama Viongozi wa Dini Sasa Tuna Amri Ya
Kulazimisha Uamuzi Juu Ya Katiba...."
CARDINAL PENGO LEO JUMAMOSI ST JOSEPH KWENYE MISA YA WAWATA
No comments:
Post a Comment