|
Mkurugenzi wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA), Raphael Mtitu akiendesha mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto lukosi chini wilayani kilolo, mkoani Iringa. Shirika la TAGRODE kwa kushirikaiana na Shirika la African wildlife Foundation (AWF) linategemea kutekeleza mradi wa kurejesha hali ya Mto Lukosi katika eneo la Mahenge. (Picha na Friday Simbaya) |
African Wildlife Foundation (AWF) Sustain Project Manager Pastor Magingi akijitambulisha wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.
|
Afisa wa Maji Bonde la Rufiji Idris A. Msuya akifafanua Sheria ya Mazingira ya Mwaka 2004 kuhusu mita 60 toka kingo za mito wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto Lukosi chini wilayani kilolo, mkoani Iringa. |
|
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji (W) Kilolo Jasphone Issanzu Mukungu, ambaye pia ni Afisa Mipango (W) akifungua mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.
|
|
Mratibu wa Mipango ya Maenedeleo ya Wilaya ya Kilolo (DADPs), Moses Logan akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment) cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.
|
|
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahenge wilayani Kilolo, mkoani Iringa Saidi Muhina akitoa mawazo yake katika mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment) cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.
|
|
Mratibu wa shirika la TAGRODE Dickson Mwalubandu akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto lukosi chini wilayani kilolo, mkoani iringa. Shirika la TAGRODE kwa kushirikaiana na Shirika la African wildlife Foundation (AWF) linategemea kutekeleza mradi wa kurejesha hali ya mto lukosi katika eneo la Mahenge. (Picha na Friday Simbaya)
|
|
Washiriki wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya urejesho wa kidakio (catchment) mto lukosi chini katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya Kilolo leo,lengo likiwa ni kuapata mawazo ya pamoja. (Picha na Friday Simbaya). |
No comments:
Post a Comment