Tuesday, 27 July 2010

SABASABA SHULE YA MSINGI

Mwalimu (kulia) akiwa na wanafunzi wa darasa la awali katika shule ya msingi sabasaba katika manispaa ya Iringa.Huu ni upande wa pili wa darasa wanafunzi wa awali katika Shule ya msingi Sabsaba iliyopo Manispaa ya Iringa mkoani Iringa wakiwa wamerundikana sehemu moja kwa kwa kukosa madawati ya kutosha.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...