Wednesday, 22 September 2010

WANANCHI WA IDUNDA WAMPA MATUMAINI MBEGA

Mgombea Ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini kupitia tiketi ya CCM Monica Ngenzi Mbega akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi wananchi wa Mtaa wa Idunda Kata ya Mtwivilla Mjini Iringa leo. Mbega aliwaomba wananchi wakupigia kura ifikapo Oktoba 31, 2010 iliaweze kukamilisha kazi zilizobaki katika miaka mitano ijayo.

Sehemu ya umati uliyofika katika mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Mama Mbega katika Mtaa wa Idunda Manispaa ya Iringa.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...