Sunday, 3 October 2010

IPC WAFANYA MKUTANO WA MWAKA

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi Mkoa wa Iringa (IPC) Bw. Kenneth Simbaya (katikati), ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) akiongea na wanachama hicho leo katika Mkutano wa Mwaka wa kawaida chama uliyofanyika Ukumbi wa Manispaa Iringa. Kulia kwake ni Mweka Hazina wa IPC Bw. Selemani Bokhe na kusho kwake ni Katibu Mtendaji wa IPC Bw. Frank Leonard.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...