Tuesday, 5 October 2010

KARIBU MKOA WA RUVUMA MPENZI MFUATILIAJI WA BLOG HII

Wagonjwa mbalimbali wakiotea Jua la asubuhi ilikupata japo vitamini 'D' nje ya majengo ya Hospitali ya Misheni ya Mtakatifu Yusufu (ST. JOSEPH HOSPITAL PERAMIHO) mkoani Ruvuma kama walivyokutwa wamekaa leo kwenye vibaraza na viunga vya hospitalini hapo.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...