Jumla ya wahitimu 23 walikabidhiwa vyeti jana katika Mahafali ya Chuo cha Ufundi Peramiho (Peramiho Vocational Training Center) na Mkuu wa Chuo cha VETA-Songea, Bw. Afridon Mkhomoi kwa niaba ya Mkurugenzi wa Kanda ya VETA Iringa. Wahitimu hao walisomea fani mbalimbali kama ushonaji wanafunzi 12, fani ya ufundi magari saba na useremala (4) kwa miaka minne. Chuo cha Ufundi Peramiho ni kongwe nchini ambapo kina miaka 82 tangu kianzishwe chini ya wamishonari wa Kanisa Katoliki (RC).
Wahitimu 23 katika Chuo Cha Ufundi Peramiho (Peramiho Vocational Training Center) wakifanyiwa maombi katika Misa Maalum jana katika Kanisa dogo la Peramiho Mjini Songea, Mkoa wa Ruvuma na Baba Abate Fr. Anastosius Laizer (OSB) muda mfupi kabla ya kuanza sherehe ya Mahafali ya 79 katika chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa St. Benedict Hall, Peramiho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment