Wednesday, 2 February 2011

HABARI ZA SIKU NYINGI MZEE!

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA SHEREHE YA SIKU YA SHERIA NCHINI, RAIS JAKAYA KIKWETE AKIBADILISHA MAWAZO NA MWENYEKITI WA KAMBI YA UPINZANI MBUNGE BW. FREEMAN MBOWE AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA CHADEMA KATIKA VIWANJA VYA MAHAKAMA KUU TANZANIA KIVUKONI JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

PICHA KWA HISANI YA IKULU MAWASILIANO.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...