Thursday, 21 April 2011

STREET MAKTABA ZITABORESHA ELIMU NA UFAULU!

Mwanaharakati wa Sera za Elimu na Vijana toka NGO ya RESA (Rural Education Services Aid), Rastafarahi Andrew Chonapi Chale akipitia na kuangalia vitabu mbalimbali Peramiho Bookshop na kukutana na meneja wa duka hilo Bro.Yona OSB, ili kujenga ushawishi, ushirikiano na kukamilisha wazo lake la uanzishaji wa Maktaba Huru kwa jamii za Peramiho, hasa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.



Mpango shawishi: Uanzishaji wa maktaba ngazi ya kata, uboreshaji eilmu na ufaulu wa wanafunzi Kata ya Peramiho.


Hoja: ‘Nija mbadala ya kuboresha elimu na ufaulu tuanzishe Maktaba (Street Libraries)’

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...