Monday, 22 October 2012

MAMBO YA PRINTING PRESS

Helena Shoni na Jocob Mapua ni wanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo cha Ufundi Peramiho (PVTC) wanaosomea fani uchapishaji (Printing Press) wakifanya mazoezi kwa vitendo kwa kupanga kurasa za vitabu vya risiti (Cash sale books) vya wateja mbalimbali. (Picha na Friday Simbaya)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...