Tuesday, 11 December 2012

USAJILI WA WATOTO KUANZA DARASA LA KWANZA MWAKANI WA PAMBA MOTO


Mwanafunzi wa shule ya awali Christopher Simbaya akifanya mtihani wa majaribio kwa kuandika namba 2-10 ubaoni leo wa kuingia darasa la kwanza mwakani katika Shule ya Msingi ya Peramiho wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma. (Picha na Friday Simbaya)



No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...