Thursday, 15 August 2013

MAFUNZO YA INTANETI KWA WANAHABARI MKOANI RUVUMA

Mwanahabari Friday Simbaya akifuatilia mafunzo ya intaneti kwa wanahabari wa Mkoa wa Ruvuma kwa msaada wa MISA TAN.

Catherine Nyoni wa TBC Songea akijitambulisha katika mafunzo ya intaneti wanyoendelea VETA Songea.


Mazungumzo baada ya mafunzo katika viunga vya Chuo ya Ufundi Stadi VETA Songea.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...