Saturday, 11 October 2014

KATIBU MKUU WA CCM AVUNA WANACHADEMA NYOLOLO

2 4 1 13 15 14
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa ,Ittikadi na Uenezi  akiwahutubia wananchi wa kata ya Nyololo wilayani Mufindi katika mkutano uliofanyika uwanja wa Nyololo Njiapanda.
16 18 19 20 21 22
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza wana CCM waliojiunga na chama hicho kula kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi zao katika kiutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyololo Njiapanda wilayani Mufindi.
23 24 25

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...