Wednesday, 8 October 2014

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE MBARONI KWA KUCHOMA BWENI

Wanafunzi hao wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya kupelekwa kituo cha polisi.
 Bweni linalodaiwa kuchomwa na wanafunzi hao.
 Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe, Fulgence Ngonyani wa pili kushoto) akionyeshwa jinsi  bweni  lilivyoteketezwa kwa  moto huku akiwa na askari  wake. 

Wanafunzi hao wakiingizwa katika gari la polisi. CREDIT: HABARI ZA JAMII BLOG

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...