Wednesday, 5 November 2014

GIS Training to the district land planner/surveyors


Maafisa ardhi na mipango miji wakiendelea na mafunzo.

District planners/surveyors in the training session this time concentrating on the satellite image from google accessed through QGIS plugins.


Maafisa ardhi na mipango miji wakimsikiliza mkufunzi kwa makini wakati wa mafunzo,.District land planner/surveyor paying attention to the lecture during the training.


Private Forestry Programme (Panda miti Kibiashara) iliandaa mafunzo ya GIS kwaaji ya maafisa ardhi na mipango miji wa wilaya ya Ludewa, makete na Njombe Vijijini na mjini kwaajili ya kuwasaidia katika kazi za kufanya mipango ya matumizi bora ya ardhi vijijini ambayo itafadhiliwa na Private Forestry Programme. Mafunzo yalilenga kwenye software ya QGIS ambayo si ya kulipia.


Private Forestry Programme (Panda miti Kibiashara) organized GIS training to Ludewa, Makete and Njombe rural and town council planners/surveyor to help them undertaking Village land use planning. The village land use planning will be facilitated by Private Forestry Programme and the training was on the use of open source QGIS software.

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...