Sunday, 2 November 2014

JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam jana kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2,2014



Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam jan kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2, 2014

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...