Sunday, 23 November 2014

MTAA KWA MTAA, HAPA NI MTAA WA IDUNDA...!

MKAZI mmoja ambaye hakufahamika jina lako mara moja akiokota vitu mbalimbali toka jalala lililopo mtaa wa Idunda Manispaa ya Iringa leo. Kwa maelezo ya baadhi ya wakazi wa mtaa huo walisema kuwa taka hizo hazijazolewa kwa muda mrefu na  Malmashauri ya Manispaa kiasi cha kuhatarisha afya kwa wakazi wao hasa watoto, kama ilivyokuwa mtoto huyu akijitafutia vitu kutoka kwenye jalala leo mchana. Hivi

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...