Wakazi wa Mtaa wa Idunda Kata ya Mtwivilla katika Jimbo la Jringa mjini akisherehekea ushindi wa chama chao baada ya msimamizi wa uchaguzi kumtangaza mgombea wa chadema kuwa ndio mwenyekiti wa mtaa huo wakiwa pamoja na mbunge wa jimbo hilo Mch. Peter Msigwa saa 6 usiku baada Chadema kuambulia mitaa zaidi ya 50.jimbo la iringa lina jumla ya mitaa 192.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment