Sunday, 14 December 2014

MTAA WA IDUNDA KARATASI ZA KUPIGIA KURA ZIMEISHA...!



Wananchi wa mtaa ya idunda kata mtwivilla jimbo la Iringa mjini wakipiga kelele nje ya kituo cha kupigia  kura baada ya karatasi za kupigia kura kuisha.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...