Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wamoja Ayubu (kulia) akifungua kikao (kushoto) ni Afisa Elimu Mkoa wa Iringa Mwalimu Joseph Mnyikambi
Mkoa wa Iringa umezitambua shule 10 bora na wanafunzi 10 waliofanya vizuri zaidi katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2014.
Shule hizo na nafasi kimkoa na kitaifa katika mabano ni St. Dominic Savio (1/ 39), Ukombozi (2/ 171), St. Charles (3/176), Ummusalaama (4/ 183), Wilolesi (5/210), Sipto (6/241), Star (7/ 252), Southern Highland (8/ 353), Lipalama”A” (9/367) na BrookeBond (10/520).
Aidha, wanafunzi wavulana 10 waliofanya vizuri kwa shule za serikali na zisizo za kiserikali ni Mansoor Mohamed Malambo (St Dominic Savio), Gerald Gwerino Kibiki (St Dominic Savio), Saul Ishengoma Byemerwa (St Dominic Savio), Gabriel Augustine Mwadasi (St Dominic Savio), Benson Titus Mgidula (St Dominic Savio), James Albert Mwingira (St Dominic Savio), Salimu Nasibu Nassoro (Wilolesi), IsackEphramim Stanley (St Dominic Savio), Richard Elinami Lyimo (Wilolesi) na Mswabu Issa Ramadhani (Wilolesi).
Wanafunzi wasichana 10 waliofanya vizuri ni Gladness Anjelo Kibasa (St Dominic Savio), Joyce Jacob Sapali (St Dominic Savio), Editha Raymond Mlowe (St Dominic Savio), Wemael Joseph Msenga (St Dominic Savio), Leticia Stephen Anderson (Mapinduzi), Gladness Alex Shambe (St Dominic Savio), Gloria Joseph Tossi (St Charles), Ayun Juma Mohamed (Gangilonga), Beatrice Wilbert Ngwancele (St Dominic Savio) na Mwanaid Michael Kidasi (Lugalo).
No comments:
Post a Comment