Tuesday, 31 March 2015

KIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA UFUATILIAJI WA SHERIA YA MIZANI NA VIPIMO 1982




Mwenyekiti wa kikao cha kikosi kazi cha ufuatiliaji wa utekelezaji wa sheria ya mizani na vipimo mwaka 1982, Eng. Awariywa Nnko akiendesha kikao hicho leo katika ukumbi wa IREBUCO Iringa mjini. TCCIA kwa kushirikiana na BEST-Dialogue inatekeleza mradi wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa sheria ya mizani na vipimo namba 20 ya mwaka 1982. Mradi huu unahusisha sekta ya umma na binafsi pamoja na vyombo vya habari katika mikoa ya Iringa na Njombe.


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...