Saturday, 11 July 2015

DR SLAA ATEULIWA KUIPEPERUSHA BENDERA YA UKAWA KTK NAFASI YA URAIS


Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.

Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa @twitter wa Dr Slaa
kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.

"Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi" @willibrordslaa

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...