Friday, 25 September 2015

Celina Kombani hatunaye tena


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani amefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu 

Kwa kujibu wa taarifa zilizotufikia, Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia chama cha Mapinduzi, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu

Mtandao huu wa SimbayaBlog, tunatoa pole kwa familia ya marehemu, wananchi wa jimbo lake na taifa kwa ujumla kwa msiba huu.
Pumzika kwa amani kiongozi wetu.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...