Saturday, 26 September 2015

KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA MAFINGA MJINI...!


Mwenyekiti wa Serikali kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kitelewasi kata ya Rungemba, Mafinga Mjini akifungua mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho William Mungai...Kampeni zinaendelea..

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...