Saturday, 26 September 2015

LOWASSA AOMBOLEZA KIFO CHA CELINA KOMBANI

Embedded image permalink

Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chadema Edward Lowassa ametweet kwenye Tweeter kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani aliyefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. 

"Mimi na Regina tumeunishwa na tunaomboleza kifo cha Mhe Celina Kombani.Mungu awape nguvu, faraja na kuwaimrisha ndugu, jamaa na marafiki."

"Regina and I are filled with sorrow as we mourn the death of Hon Celina Kombani. May God Comfort and strengthen her family and friends."

Kwa kujibu wa taarifa, Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia chama cha Mapinduzi, mwili wake umewasili nchini leo Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amina.

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...