Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza rasmi Mchungaji Peter Simon Msigwa (Chadema)kuwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini kwa 2015-2020 jioni hii. Tume imemtangaza Msigwa kwa kupata kura 43,154 dhidi ya mpinzani wake Frederick Mwakalebela aliyepata kura 32,406.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment