Sunday, 1 November 2015

Daniel Kilonge anasimulia alivyochomwa Kisu..



Mwandishi na mpiga picha wa Mjengwablog/Kwanza Jamii, Daniel Kilonge (mwenye mzula) anasimulia alivyochomwa kisua kwa wana familia ya Wanahabari wa Iringa jana asubuhi.  Mwandishi huyo alichomwa kisu kichwani na mtu asiyejulikana ndani ya Daladala. Kulikuwa na mabishano ya kisiasa hapo tarehe 27 Oktoba mwaka huu. Daniel alitulia kwenye kiti akizungumza na abiria mwenzake. Alikuwa njiani akitokea Tumaini kuja katikati ya mji kutekeleza majukumu ya kazi. Maggid

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...