Friday, 29 January 2016

Askari polisi auawa kwa kupigwa risasi




Askari polisi Nobart Chacha (25) Wilayani Mlele Katavi ameuawa kwa kupigwa risasi akituhumiwa kupora mali za mfanyabiashara wa madini kwa kutumia silaha za jadi.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Katavi amesema kuwa askari huyo aliuawa kwa kupigwa risasi kifuani na mgongoni. Chanzo: East African Radio

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...