Wednesday, 20 January 2016

TIGO WAPATA UGENI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA HARVARD



Mkurungezi mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez akizungumza na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Harvard, Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama kupata taarifa za uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano. 





Mkurungezi Mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi toka chuo kikuu cha Harvard cha Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama kupata taarifa uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano. 






No comments:

Tanzania Marks International Day Of The Girl Child With A Call To Protect And Empower Girls

Iringa. Tanzania has joined other nations around the world in marking the climax of the International Day of the Girl Child , commemorated...