Wednesday, 9 March 2016

MTO IHANGA, MTO UNAOKATISHA KATIKA MITAA MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA


Kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani ni kimfereji cha maji ya mvua kumbe ni Mto Ihanga, mto huu unaokatikatisha katika mitaa mbalimbali ya jiji la Mbeya. Hapa ni maeneo ya Ilomba kama unavyoonekana jioni hii. watu wanatiririsha maji machafu kwenye mto na watu wengine wanautumia mto huu kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi kama vile kuoshea magari.



maeneo ya Ilomba mchana wa jana.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...