Thursday, 10 March 2016

RADIO MPYA YA WANANZENGO JIJINI MWANZA, KUANZA KURUKA HEWANI RASMI


Imethibitika kuwa Hit Radio Station ijulikanayo kwa jina la LAKE FM ya Jijini Mwanza inatarajia kuanza kuruka hewani rasmi kupitia 102.5 kuanzia wiki ijayo.

Redio mpya ya wananzengo Mkoa wa Mwanza itakua
hewani rasmi kuanzia jumatatu wiki ijayo Machi 14, 2016. 
Tunaposema Raha ya rock city
unaelewa nini? Follow @lakefm_mwanza kucomment ili tujue mapokeo yako. 
#LakeFM
#RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...